Thursday, September 13, 2012

KIKOSI MAHILI KISICHO SAHAULIKA! KTKA SHULE YA TAMBAZA! WANA ECA! KUJENGA UMOJA ULIOWADUMISHA NA KUFIKA MBALI! ECA SQUARD! WE WERE DA BEST EVER!

BHATAAAA!

DEE NA RAFIKIZE WAKILA BHATA ZA MAISHA! WOW!

Wednesday, August 22, 2012

HUSTLER!

DEE DA BUOY! AKITOKLEZEA NA SWAGGS KITAA! WOW OU YEAH!

SKOUNGAAAH!

 DEE NA RAFIKIYE WAKIPIGA MISULI KATIKA CHUO KIKUU (UDSM)

 
DEE BOY N' ANTHONIO CAITANO WAKITOKLEZEA BAADA YA KUMALIZA KUJISOMEANI MABEST FRIEND EVER! WOW OU YEAH!

SWAGGZ KITAA!

DEE DA BUOY! katika hali ya ku show off! na kupiga pozz hadim! enjoy t!

Monday, August 20, 2012

utata kuhusu matokeo ya kuchaguliwa kwa wanafunzi katika vyuo mbalimbali.imekuwa ni kama wimbo kwa wanafunzi, kuhusu hatma yao ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu! kwan matokeo yamekuwa yakicheleweshwa kiasi cha kuvuja kwa matokeo ya baadhi ya vyuo, kama udsm,udom na vingine vingi.